Makapuku Forum

Makapuku Forum

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] umeanza tena, hilo jina litakupoza love
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] jamani ujue x shemela bwana nakumbuka tu mambo zake za kukuandikia uzi ujue mkigombana huko jf yote tujue [emoji12][emoji12][emoji12] mkipatana tujue woiiiii kujikwaa sio kuanguka ujue
 
achana na mambo ya x shemela bana, unataka niropoke mgeni nionekane sina adabu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mgeni nakujua unatamani kunipa tusi hapo ndio hivyo tena upo na kamba mguuni
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hahahaha ila kwenye mtongozo ulikuwa wa kimya kimya
Ndio hapo [emoji1][emoji1][emoji1] ujue me nilikua naonaga akikutag moneytalk mpenzi wangu nampenda sana nikawa najiuliza hivi hizi mambo ni kweli au bongo movie za jukwaani nilivyoona tu ile siku umepanik ya interview na kuniambia bado kidogo awe shemela wangu [emoji1][emoji1] nilivyoona uzi wa msamaha na ule wa kukubaliwa msamaha nikaona gari limewaka na kuon kweli hii kitu hakuna bongo movie jaman [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Shemela nawe kwa kuwaza bongo movie hujambo [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Ndio hapo [emoji1][emoji1][emoji1] ujue me nilikua naonaga akikutag moneytalk mpenzi wangu nampenda sana nikawa najiuliza hivi hizi mambo ni kweli au bongo movie za jukwaani nilivyoona tu ile siku umepanik ya interview na kuniambia bado kidogo awe shemela wangu [emoji1][emoji1] nilivyoona uzi wa msamaha na ule wa kukubaliwa msamaha nikaona gari limewaka na kuon kweli hii kitu hakuna bongo movie jaman [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kwa taarifa yako ile ndo ilikuwa bongo movie Original
 
Back
Top Bottom