Makapuku Forum

Makapuku Forum

Hakika Mwenyezi Mungu ni mkuu kuliko yeye alieumba kila kitu anazidi kuyaokoa maisha ya kipenzi chetu tundu lisu
Asante kwa upendo wako kwangu asante kwa kuniamsha tena salama siku hii uliyoifanya mwenyewe
Asante kwa ajili ya sifa na utukufu wa jina lako
Naamini makapuku mko safi na kama hujaamka poa basi Mwenye enzi Mungu akusaidie na kukuponya

Asubuhi njema makapuku wote
Amin

Na wewe pia
 
7ed5165e1a47e3ca781714291715e173.jpg
 
Hilo la bakulutu upo sawa, hilo la kutekwa unamjua kabisa mzoefu wa kutekwa akatekeka kiurahisi naye si mwingine bali ni mjomba wangu Leeeeeeeeee Empireeeeee (kwa sauti ya Joji Marato wa AITIVIIIIIIIIIIIIIIIII)
Naona siku hizi mwendo wa kusalitiana na majungu full ....

Kumbuka kuna sms ilikosewa ikaja kwangu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom