Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,166
Ewaaaaaa shemela niwekee jaman mkeo karuhusu baba d angekuepo ningemwambia aniwekee jamanMuwekee baba wawili[emoji120] [emoji120] [emoji173] [emoji173] [emoji173]
Ewaaaaaa shemela niwekee jaman mkeo karuhusu baba d angekuepo ningemwambia aniwekee jamanMuwekee baba wawili[emoji120] [emoji120] [emoji173] [emoji173] [emoji173]
Mjukuu mweeeeeeeeOkey karibu sana[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
Babu shikamoo umepotea jaman hivi upo kweliiiMbona unacheka sana mjukuu wangu? Au umewahisi wanafanya sanaa?.... Hujambo lakini mjukuu wangu?
Marhabaa mjukuu wangu....si unajua tena mwezi wa saba umeshapita makapuku hatutakiwi kuonekana mjini [emoji16][emoji16][emoji16]Babu shikamoo umepotea jaman hivi upo kweliii
Woiiiii pole sana kwahiyo umerudi kijijiniMarhabaa mjukuu wangu....si unajua tena mwezi wa saba umeshapita makapuku hatutakiwi kuonekana mjini [emoji16][emoji16][emoji16]
Sawa mke mweee tusubiri atatutambulisha mwenyeweKwakweli sijui ujue sijui babe yupiiiii moneytalk atanitukana ujue ana michambo ameshaniambia akiniona ataning'ata
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shanga 700 sijui 1500
Ndio mjukuu tunalima matikiti tuwahi kipindi cha joto [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Woiiiii pole sana kwahiyo umerudi kijijini
Shikamooo babuMbona unacheka sana mjukuu wangu? Au umewahisi wanafanya sanaa?.... Hujambo lakini mjukuu wangu?
AbeeeMjukuu mweeeeeeee
[emoji3] [emoji3] [emoji3] kwa hyo ww umekimbilia wapiMarhabaa mjukuu wangu....si unajua tena mwezi wa saba umeshapita makapuku hatutakiwi kuonekana mjini [emoji16][emoji16][emoji16]
Utamuuliza mwenyewe mke mwee kule ulipokuja ungefatilia ungeona ujueSawa mke mweee tusubiri atatutambulisha mwenyewe
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Marhabaa mjukuu mwee.... Jambo wewe?Shikamooo babu
Sawa sawa babu nakutakia kila la heri tu kwenye ulimaji wa matikitiNdio mjukuu tunalima matikiti tuwahi kipindi cha joto [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Dogo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Habari za siku mbili tatu.Abeee
SawaUtamuuliza mwenyewe mke mwee kule ulipokuja ungefatilia ungeona ujue
Porini[emoji3] [emoji3] [emoji3] kwa hyo ww umekimbilia wapi
Cjambo hbr ya kuadimikaMarhabaa mjukuu mwee.... Jambo wewe?