Obe
Platinum Member
- Dec 31, 2007
- 10,324
- 35,833
Ushindweee binamu baba d na hizo mambo tofauti halaf tuna mgeni rafiki yetu anaitwa moneytalk
Okay, ngoja nimsalimie? Ushamwambia mimi ni mmoja wa wamiliki wa simu mpya ya Samsung Galaxy?
Ushindweee binamu baba d na hizo mambo tofauti halaf tuna mgeni rafiki yetu anaitwa moneytalk
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] si ile siku ulivyomwambia kana mkaongee kule yaan pm kumbe alinote ile uzi wa msamahaPoor KANA kaingizwa kwenye ugomvi ambao hajui kichwa wala miguu
Kuna mtu anaitwa obe huyo ni binamu yangu me na baba d ila sasa huyo binamu ujue anamfundisha baba d wangu jamaan tabia mbaya utamzoea tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji12] mambo ya kumiliki Samsung galaxy binamu nilisahau ujue kabisaOkay, ngoja nimsalimie? Ushamwambia mimi ni mmoja wa wamiliki wa simu mpya ya Samsung Galaxy?
![]()
Wewe binamu ndio master key unaniharibia mume ujue...baba D, yeye ndo master-key
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji12] mambo ya kumiliki Samsung galaxy binamu nilisahau ujue kabisa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] binamu hilo la kumiliki Samsung galaxy kesho nitamwambia leo si ndio kafika jaman....ujue aunty hapo ndo unakoseaga sasa, yaani kuna habari za msingi lazima wageni wako uwaambie, wasiwe wa mwisho kujua
Safiii..kwema lakini?[emoji7][emoji7][emoji7][emoji8][emoji8][emoji8] za wewe mamy
Miss u shemela!Nawe pia Madame s
Sante mamaNa kwako pia
Same to u babu yao!Good night madame S
[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]Lazima upende raggae we c rasi kama mpendwa wako
[emoji1] [emoji1] ndio binamu wako huyoo[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Walikuwa kwenye maintavyuu ukooLeo mmeshinda wapi lakini
Na wewe umenogewa na maintavyuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
DuuSio yule [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] waliachana kwa matusi ujue na kashfa mbele yangu kwenye uzi wao ndio akome kuwakubali viben 10