Asprin
Platinum Member
- Mar 8, 2008
- 68,272
- 96,398
Hapo sasa....Hadi nimuite mimi
Hapo sasa....Hadi nimuite mimi
Sasa mm niko njia pandaaMtu anajiita Muosha rungu halafu bado unamuuliza kama ni jike Au dume?
Mkuu sio kwa ubaya ...ila jina la muoshaaa naliwekeaa kipeuo cha piliiiKwann umeuliza hivyo mukuru!
DJ sepetu
Shikamoo binamuHa ahahhahahaha, usizunguke sana weee mtu mzima, sema tu ni jike
Mukuru kuna jamaa katoa ufafanuz hapo juu!Mkuu sio kwa ubaya ...ila jina la muoshaaa naliwekeaa kipeuo cha piliii
Ha ahahhahahaha, hiyo interview huwa inafanyikia jukwaa gani ili nikatembee

Sijaelewaaa....au unataka nibaki na labdaMukuru kuna jamaa katoa ufafanuz hapo juu!
DJ sepetu
Nina mkuyenge mukuruSijaelewaaa....au unataka nibaki na labda
Husna ndo nani huyo nimfanyie interview mwezi ujao maana nafasi kwa sasa zimejaaHilo dume tena janja..... Yaani hio interview ni mbinu ya kucustomise.... Siku ukiona Husna kafanyiwa interview basi kaa vizuri.
Nina mkuyenge mukuru![]()
![]()
DJ sepetu
Chit chat hukoHa ahahhahahaha, hiyo interview huwa inafanyikia jukwaa gani ili nikatembee
Muulize Obe atakufahamishaHusna ndo nani huyo nimfanyie interview mwezi ujao maana nafasi kwa sasa zimejaa
DJ sepetu
Lee wewe mchokoziSasa mm niko njia pandaa
Wapiii nimechokonoaaaLee wewe mchokozi
Unajua kumtilia mwanamme mwenzio juu ya uanaume wakeWapiii nimechokonoaaa