Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,488
1/Vince McMahon![]()
![]()
![]()
Akiwa na Stephanie![]()
Alizaliwa Agosti 24 mwaka 1945
Ndiye baba wa Diva wa miekeka Stephanie McMahon ambaye kwa sasa kwa wanawake hana mpinzani
Alikuwa ni mcheza miekeka nguli enzi zake licha ya kuwa na umbile la kawaida
Baada ya kustaafu akaanzisha kampuni za mieleka ambazo yeye ndiyo anazoziongoza kama CEO sasa unapomuona ulingoni kashika kipaza sauti usifikiri anauza sura pale yupo kwenye biashara zake ujue
Pia keshawahi kucheza filamu kibao tu
Ana utajiri wa USD 800 Milioni
.
.
.
.
.
.
.
Shukrani kwa mliosapoti mada
Niwatakie Usiku Mwema
Tukutane Jumatatu
Mwisho
...............
Hello NyageiHello madam
The Rock ni sheedahNampendaga movie zake the way alivyo and vyote kuhusu yeye sema sikua najua kamaaliwah cheza mieleka wewe ndio umenijuza kwakweli
Madame S
Yuko vizuriThe Rock ni sheedah![]()
![]()
![]()
![]()
Baada ya miaka mitatu utajiri wake utapaa maradufu
......
Aiseeee... Huyoo jamaa daaah... Weka mbali na watotoThe Rock ni sheedah![]()
![]()
![]()
![]()
Baada ya miaka mitatu utajiri wake utapaa maradufu
......
[emoji15] [emoji15] [emoji15]Shunie, unajua mimi siku zote niko naww hapa najuanga wewe ni Muslim...?[emoji15] [emoji15]
post using my macbook air using jamiiforums app
Na wababa nao wapate madame S[emoji12][emoji12][emoji12]
Madame S
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kila aliyesoma bango atapataNa wababa nao wapate madame S
Muziki: Ukimya Unaopiga Kelele
Kuna kuwa kimya na kukaa kimya, haya yanatofautiana. Ngoja kwanza, usiharakie kusema mbona yote yanafanana, nani kasema. Kuwa kimya ni dhana nzima ya kujitafakari, unajitafakari tembea yako, unatafakari ufanye nini, huzungushi ulimi. yeah, huzungushi ulimi maana hata ukimpa ulimi unayempenda ulimi utaongea na huku ndo kukaa kimya na kuwa kimya ni kelele zenye sauti ya nyangumi. Huelewi, well, hatushindani kufikiri maana leo ni furahiday na always I take this delicious day very easy, and hate those making obnoxious noise na kuusumbua ukimya wangu.
Napita tu, kimya kimya, napekua usisikie kelele zangu nikiwasalimia shululu ambaye sichoki kusoma magazeti, unanianzishia siku kwa uzuri kabisa. Nakushushukuru Jimena kwa historia na wine ya Ximena bila kusahau Chi seeds (nikajua ni 'kai square'), asante Shunie kwa sala, sijakusahau Madame S , picha zinaongea sana na ndizo zimenivuta kuandika ninachoandika leo.
Asante Bitoz kwa kutia chachandu, sijakusahau husna muba sichoki kukukumbuka, Tumosa ujue safari yangu nakutegemea, Sakayo ujue Transcend leo kabamba Jukwaa kwa picha nzuri. Na Clkey , mzeewakungoa , Nyagei , Mondray , shedede , koncho77 , Mkushi wa kusi Mndali ndanyelakakomu lee empire , na wewe msomaji mnajijua kabisa bila nyinyi jukwaa hili linabaki kuwa kama majukwaa mengine tu ya kawaida. Uwepo wenu hapa unaifanya KF iwe hot na wengine kupiga miayo ya njaa kama wapishi wa hotel.
Muziki sasa; hey, sijarudi bado sema hii furahiday nimekaa naangusha mbuyu hapa kwa taratibu maana asubuhi inaanza kama jumatatu
Asante Obe kwa kunifanya niruke matope usiku huu
[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji3] [emoji3] [emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kila aliyesoma bango atapata
Madame S
ShikamooAsante kushukuru, usiruke sana maana maji ni ya mgao
Kwetuuu yapo ya mtoniAsante kushukuru, usiruke sana maana maji ni ya mgao
Shikamoo
My loveMy sweetheart