GJHariohay
JF-Expert Member
- Oct 24, 2013
- 1,041
- 1,161
Shemeji huo ni uchochezi sasa...Nitamsalimia...
Msalimie anayekamatia chini pia..
Salama,habari ya wewe?
Kwani hayupo ama?Shemeji huo ni uchochezi sasa...
Ha ha ha ha. Uchochezi huo shemejiKwani hayupo ama?
Eee bhana eee [emoji41][emoji41]Ha ha ha ha. Uchochezi huo shemeji
fresh mambo vp?Mkuu..
Shwari?
Wauza unga nomaHawapendagi ujinga
Sasa ulifikiri lini ?Mdau..
Kumbe leo ni ijumaa? [emoji134][emoji134]
Shemeji koloni lina mtawala wakeEee bhana eee [emoji41][emoji41]
Kumbe jimbo lipo wazi?