SijuiUkweli upi ?
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
.....
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Aisee [emoji2][emoji3] mpaka nilijikuta naangalia ID yangu Maana sijaamini amini.
Serious! Umevunja rekodi mama [emoji127]
Muite saasaaa[emoji1] [emoji1] [emoji1][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]pole jamani
Madame S
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Duuuu anakaa macho kwa masaa mawili tu[emoji15]1/Koala![]()
![]()
![]()
Sijui kwa kiswahili wanaitwaje
Ila naona tu kama vile ni dubu wadogo
Hawa wanafanana na dubu ila siyo dubu kivile
Wanapatikana barani Australia ila kumbuka tu Australia ndio nchi pekee duniani ambayo pia ni bara
Wana uwezo wa kuishi miaka 18
Hawa ndio vingozi wa kulala duniani yaani wakati wenzao wapo bize kujenga viota,kulea makonda,kuwinda na kucheza wao wapo usingizi wa pono !!!
Kwa siku hupiga usingizi masaa 22
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
Shukrani kwa mliosapoti mada
Niwatakie Usiku Mwema
Tukutane kesgo
Mwisho
................
[emoji1] [emoji1] mgeni majanga huyu[emoji134] [emoji134] [emoji134]
Tutammis sanaMakaveli ndio gwagu jamani hahhahhahaha mana yeye hua sjui alala saa ngapi
Madame S