Makapuku Forum

Makapuku Forum

IMG_20170815_184634_418.JPG


Madame S
 
2/Brown Bat
defe18d255a62f3ff1b7a0c947d5e56d.jpg
33305acda114697376b3a258a62bc93a.jpg

Popo ni ndege au ni mnyama ?
Mtabishana siku nzima naana jamaa ana manyonyo kama ng'ombe halafu anaruka kama kunguru
Hapa namzungumzia popo wa kahawia sio uliowazoea wewe
Sasa ukisikia team popo ndio uekewe kwamba ni watu wanaokuwa macho mida ya usiku kuliko mchana
Humu nfani binamu Obe labda ndoye popo wetu

Kwa siku hulala masaa 20
....................................................................
da4568dc256a697c87db2f6e974862d1.jpg

Achana na popo kuna mnyama mwingine bwege aitwaye Sloth yaani huyu ukimwangalia tu sura utaelewa

Kwa siku nae hulala masaa 20
.....................

Ha ahahhahahaha, mimi sio popo labda bundi , mchana nalala usiku ndo naingia job. Popo humu aweza kuwa makaveli10 , Nyagei shululu , Madame S , Shunie , Mondray .
Hawa ndo mida yao
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom