Makapuku Forum

Makapuku Forum

IMG_20170815_080621_511.JPG


Madame S
 
Muziki: Sijakusahau

Nikushukuru sana mdau na Kapuku wa nguvu, well, unaweza ukajiuliza nakushukuru kwa nini.! Usikonde, nakushukuru sababu upo na unalifanya Jukwaa hili kuwa bora kabisa.

Anyway, sijarudi kikamilifu bado, pamoja na hayo bado ninapata muda wa kusoma na kuangusha 'like'kwa sababu tunalaikiana, au sio. Nakushukuru shululu kwa kuweka muziki kama ilivyo kwa Bitoz , asanteni wadau. Ninawakumbuka sana lee empire , Shunie , kipenzi changu husna muba , mtaasisi Nyagei , Tumosa , Clkey , BlessedHope , dingimtoto , mzeewakungoa , Madame S , Transcend ,SHIMBA YA BUYENZE , koncho77 , Sakayo , Mkushi wa kusi , Mndali ndanyelakakomu , Curious gal ,demi ,Mussolin5 ,werrason , makaveli10 , Jimena na wewe msomaji na shabiki wa KF.

Muziki sasa, ulishajipa muda wa kutembea mtaani na ukakutana na wale myuzishani wa kitaa, hawana band ila wanaimba nyimbo unazozijua. Wengi wao hupiga gitaa na kigoma au zeze, marimba na vitu kama hivyo. Ukiwa hujawahi sio ishu maana muziki utakukuta popote ulipo na ndo tutawaangalia jamaa hawa kwa leo. Much love na tambua kabisa bila wewe jukwaa hili lisingekuwa bora lilivyo sasa


Obe, Asante !!!
 
Kwa kuwa wewe Bwana ndio kimbilio langu, umemfanya aliye juu kuwa makao yako

Mabaya hayatakupata wewe, wala tauni haitakaribia hema yako

Kwakuwa atakuagizia malaika zake wakulinde katika njia zako zote

ZABURI 91:9-11

MUWE NA ASUBUHI ILIYO NJEMA NA MBARIKIWE SANA
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom