Tumosa
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 16,527
- 52,623
[emoji120] [emoji120] [emoji120]Mie naendelea poa
[emoji120] [emoji120] [emoji120]Mie naendelea poa
Shemela shululu baba jj mwenyewe naomba magazeti mimi
Amen[emoji524] Kwa kuwa wewe Bwana ndio kimbilio langu, umemfanya aliye juu kuwa makao yako
Mabaya hayatakupata wewe, wala tauni haitakaribia hema yako
Kwakuwa atakuagizia malaika zake wakulinde katika njia zako zote [emoji524]
ZABURI 91:9-11
MUWE NA ASUBUHI ILIYO NJEMA NA MBARIKIWE SANA [emoji120] [emoji7]
Mama D za leoShemela shululu baba jj mwenyewe naomba magazeti mimi