shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,911
Morning tooGood morning...
Morning tooGood morning...
Asante shemela jamanTUPATE DONDOO ZA MAGAZETI YA LEO kwa udhamini mnono wa Mama D
Pamoja sana mpendwa wa ObeAsante mkuu
Shululu mzima wewe?Morning too
Nzuri kabisa, D hajamboSalama shemela wangu za wewe apo
Nzuri mkuu, za pande hizoHabarini za asubuhi wapendwa wa KF
Apewe tu Mo hakuna namna
Mungu ni mwema mdogo wangu..Furaha yangu nikisikia hivyo dada jaman
Asante sana baba jjView attachment 567389Sina la ziada kutoka magazetini Tukutane tena kesho Nawatakieni siku njema
Mapopo wa nini sie jamaan tena binamu
Kaenda wapi tena maka jamanTutammis sana
Mchochezi kwenye ubora wako ule ule shemela wanguWoyoyoooooooooooo
D mzima kabisa shemela sijui wakina jjNzuri kabisa, D hajambo
Namshkuru Mungu sana dada hofu ni kwako tuMungu ni mwema mdogo wangu..
Habari yako lakinii
Nimechochea nini shemelaMchochezi kwenye ubora wako ule ule shemela wangu
Wako poa kabisaD mzima kabisa shemela sijui wakina jj
Nimesema tu mie shemela jamanNimechochea nini shemela
Mie Sijambo... Jana ukanizimia simuNamshkuru Mungu sana dada hofu ni kwako tu