Makapuku Forum

Makapuku Forum

eb4fc4641f0b4718ad63657abe3f0b7e.jpg

Cc Shunie
Sakayo
Tumosa
Husna
Maserati
Husna
Madame S
Jimena


......
Kwann mie umenandika Mara 2?!
 
Namba 6

Kevin Poulsen.

Huyu ni mmarekani na amezaliwa katika jiji la calfornia.

Kevin aliwahi kuingilia mfumo wa redio KIIS-FM iliyoko katika jiji la LA ili awe mpigaji simu wa 102 katoka shindano la kushindania kupewa gari aina ya Porsche ambalo alikiwa anaota kuliendesha katka maisha yake.

Jamaa alifanya hivyo na kufanikiwa, baada ya kutiwa mikoni mwa FBI kwa makosa 7 ya usafishaji wa hela, udukuzi wa email na masiliano ya simu alikuja kutoka gerezani na kufanya kazi ya uandishi wa habari ambayo alisomea awali.

Sasa hivi ni mhariri katka kampuni ya wired.

Ameshida tuzo nyingi za habari nchini marekani.

e9443e3be7879eb3b33693f19df9da7c.jpg

2eb3843c1fbf29cd28d7439228bd0cf0.jpg
4933653d4182b53faf8663aa28332e79.jpg
Kweli ametisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom