Makapuku Forum

Makapuku Forum

Mimi sio mali ya umma [emoji23][emoji23][emoji23] mpnzi wangu anasoma maneno yako hapa

Madame S
Sijakwambia kuwa we ni mali ya umma,la hasha ila unachofanya ni uungwana tu, unanistiri mie jirani yako na barid la usiku huu mpendwa.. kama vile mtu anavyokuja kwako ana kiu ya maji, kwani ukimpa maji unakuwa wee dawasco, azam au maji ya umma, c ubinadamu tuu mpendwa.. ckme on bhaana.

Tycoon MAKAVELI Jr.
 
Potelea pote na maelezo yako marefu kama essay

Madame S
 
Bob has diabetes [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Madame S
Toto kama hilo haliwez kuwa langu na nikizaa km hiloo lazma nipime dna.. maana sitoi mbegu mbovu..[emoji23] [emoji23]

Tycoon MAKAVELI Jr.
 
Potelea pote na maelezo yako marefu kama essay

Madame S
Halaf wee mtoto wa kike unaringa mwenyewe unajikuta eehh.. hata bi kidude alikuwa binti kama wewe mzur na mrembo kushinda wewe lakin kafa hana hata jino moja...   [emoji57] [emoji57] [emoji57]

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Tycoon MAKAVELI Jr.
 
Back
Top Bottom