Makapuku Forum

Makapuku Forum

Leo katika Historia

1947 - India yajipatia Uhuru wake toka kwa Uingereza.
6587bdfc67b75110d8797cd0cebb7b09.jpg
f96459765723b9c945ce3a6018e55a90.jpg
2f9bfa22b17d1de8ce2ed883c7ff02ff.jpg

Vuguvugu la kudai uhuru Indian Independence Movement lilichukua takribani miaka 100
Mwaka 1858 wakati East India Company inafikia mwisho na kuanza kwa British India Empire ndio vuguvugu likaanza na kufanikiwa mwaka 1947 kupata uhuru
.......
 
Leo katika Historia

1972 - Ben Affleck azaliwa.
Ni mwigizaji mashuhuri toka Hollywood nchini Marekani. Uhusiano wake kimapenzi na mwanamuziki Jennifer Lopez ulitikisa dunia japo haukudumu sana

bb0347cedf1e2ecd2896b1ccce44e3f6.jpg
045379e2a3488454020f3ad1f0f31f32.jpg
3d8f81979fed0ae274c0c6589601f1a7.jpg
Ana utajiri wa USD 60 Milioni kutokana na dili zake mbalimbali
J.Lo baada ya kunogewa akamwimbia Jenny From The Block na kwenye video yake wamebebishana balaa
.....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom