Makapuku Forum

Makapuku Forum

2b89aebc3d228156f80b8d15919c7fa1.jpg
e0c313c4982f6e6cb9fd0597723003a5.jpg
5f9fa6c3946b5fc69d9127326c8b4df3.jpg
:
EPL alikipiga Liverpool na Middlesbrough "Boro" mwenzake !!
......

Boro
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sio kwa vipande hivyo loh!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ..

Nampa vtu vyake maana si kwa maringo hayo, bi kidude alikuwa mrembo zaid yake ila kafa hana hata jino moja..[emoji23] [emoji23]

Though ni utan mtoto wa watu(madame x) asije akachukulia sirias bure..

Tycoon MAKAVELI Jr.
 
Morng to u ndugu zangu, mko poa, ntapotea kwa week km 3 hadi 4 hv, tuombeane uzima na uhai tu, nikiibuka nadhan ntakuwa nimeibukia tabora trascend ntakuchek broo nikiwa huko nawatakia kila la kheri, afya, uzima, baraka zake muumba, na mfanikiwe katika mihangaiko yenu.. nawapenda wooote..

Tycoon MAKAVELI Jr.
Amin

Nitakumiss sana
 
Back
Top Bottom