Makapuku Forum

Makapuku Forum

Leo katika Historia

1976 - Bolo Zenden anazaliwa.(hili jina sasa)

Ni mchezaji wa zamani wa Barcelona, Chelsea, Liverpool na timu ya taifa ya Uholanzi.
2b89aebc3d228156f80b8d15919c7fa1.jpg
e0c313c4982f6e6cb9fd0597723003a5.jpg
5f9fa6c3946b5fc69d9127326c8b4df3.jpg
:
EPL alikipiga Liverpool na Middlesbrough "Boro" mwenzake !!
......
 
Morng to u ndugu zangu, mko poa, ntapotea kwa week km 3 hadi 4 hv, tuombeane uzima na uhai tu, nikiibuka nadhan ntakuwa nimeibukia tabora trascend ntakuchek broo nikiwa huko nawatakia kila la kheri, afya, uzima, baraka zake muumba, na mfanikiwe katika mihangaiko yenu.. nawapenda wooote..

Tycoon MAKAVELI Jr.
 
Uwe na safari njema
 
Afadhali wewe mtekaji wako amekupa taarifa na Muda ambao utakuwa chini ya ulinzi.... Wengine wanapotea tu.
 
Miss u mnooooo binamu yangu kivuruge husna ameshakuacha binamu bitoz anammiliki mama mchuchu anakusalimia sanaaaaaa
Nakuonaa mwenyewe unajitahjdi kunigombanisha na my love

Aisee mpendwa wangu obe mi siwezi kukuacha kabisaa hawa ni wafitini wasokutakia mema

I love you ineed you and I miss you a lot

Similar Discussions

Back
Top Bottom