Mimi kwanza nilikupongeza kwa kufunga safari kwenda lushoto na ukavumilia mazingira yaleWewe ulikula vitumbua vya lini mpaka ukasema hayo...
Mm na shunie kiukweli ni mke na mme mr ..apa nimeweka utan pemben
Kila mtu anakuja kwenye maisha ya mtu Mungu akiamua...through kapuku nimepata mke bora
WoyoyooooooooooooTatizo utani unazidi inabidi tuwe siliasi kidogo dear...
Ila waambie mwezi wa 12 ndoa ...hope kila mtu apa atakaye kuwa tayar kadi atapata