Makapuku Forum

Makapuku Forum

Namba 9

Astra

Astra ni kampuni ya kihispania utengenezaji wa silaha hasa silaha ndogo nikimaanisha Bastola. Wale wanamiliki watakuwa washakutana na Astra A-100 na Astra victoria -2000.

Sasa kuna mwanahisabati wa Greek alikuwa na miaka 58. Kwa kutumia Lugha ya falsafa ya kihindu yaani sanskrit aliweza kuvamia mfumo wa computer wa kampuni ya Astra.

Alichofanya ni kuiba Data za kitechnologia ya Astra na kuziuza kwa nchi nyingine kwa usiri siri kwa zaidi ya miaka 5. Data hizo ziliuzwa kwa watu zaidi ya 250 toka nchi tofauti tofauti.



aff0f552f05cf40ed06d75495d407281.jpg
9baff7438a781b71f555078de6bd35e9.jpg
9ddfdac0ea260f892cde90785355b390.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom