shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,911
Haaaaahaaaa
Haaaaahaaaa
AbeeMimi kwanza nilikupongeza kwa kufunga safari kwenda lushoto na ukavumilia mazingira yale
Mke ulimpata kweli, kuhusu mimi sikusema chochote hata Madame s atanisaidia
Shemela shunie inamuhusu hii
Mwambie aiseeMume hata hajapumzika ushamdaka na mashtaka wa wapi ww
Hawajamuona huyo kiumbe
Aisee
Mhhhhhhmhhhhh
Loh!Namba 7
Kevin Mintick
Kevin ni mmarekani , mtaalamu wa computer. Alisoma shule nnchini Us katka jiji la Los angels..
Akiwa na miaka 8 , kevin aliweza kutumia computer na kiingilia mfumo wa computer na kutengeneza kadi feki za kusafiri mjini Los angels..
Kevin alitengeneza kadi za usafiri na kumwezesha kuendesha gari popote mjini LA.
Baadaye Kevin alivamia mfumo wa computer wa Pentagon, Nokia na Motorola huku million ya mafaili yakiibiwa na kevin.
Alikamatwa na kufungwa ila alipotoka Gerezani akafungua kampuni yake ya computer consulting yaani mitnick Security consunlting.
![]()
![]()
![]()
Muzee ndo upo # 7Namba 7