Makapuku Forum

Makapuku Forum

[emoji524]ZABURI 91

1.Aketiye mahali pa siri pake,Aliye juu Atakaa katika uvuli wake Mwenyezi.

2.NitasemaBWANA ndiye kimbilio langu na ngome yangu,Mungu wangu nitakayemtumaini

3.Maana yeye atakuokoa na mtego wa mwindaji na katika tauni iharibuyo.

4.Kwa manyoya yake atakufunika,Chini ya mbawa zake utapata kimbilio,Uaminifu wake ni ngao na kigao,

i5.Hutaogopa hofu ya usiku,wala mshale urukao mchana,

6.Wala tauni ipitayo gizani,wala uele uharibuo adhuhuri.

MUWE NA USIKU MWEMA MLINDWE NA DAMU YA YESU [emoji120] [emoji7]
Asante shunie
 
Zitapota mechi 10 wimbo wao uleule eti Ligi bado mbichi wakati hata nguo tu kukauka mwisho jioni
[emoji23] [emoji23] [emoji23]

.

Tukutane kesho
.......
Mkuu ushindi wa mech moja unaweweseka hiv ..je ukichukua ubingwa hali yako itakuwaje? ??
 
Back
Top Bottom