Transcend
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 20,553
- 63,061
Hahaaaa....Wooooozaaaaa
Hahaaaa....Wooooozaaaaa
Ipo kwa KimarioBitoz..
Mkuu hakuna ambulance sasa hivi lakini...
Utaua watu ! [emoji3][emoji3]
Karibu mkuu
Ahahhah na we T umeliona hiloAkujibu niite...
Hiyo upo taboraUnaguna nini sasa?
Mbona huwa anaweka za kiswahiliMadam..
Naona leo unashusha nondo tuu...
Tuweke na bango za kishwahili basi...
Si unajua yai halipandi sana...
Hahaaaa [emoji41][emoji41][emoji41]Namjua huyu anauza samaki wa kukaanga pale Feri
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
.....
Nipo mwenyewe T hakuna kazi yoyoteKoh koh koh koh...!
Kazi njema...
Man u kama simba ujue TWacha waendeele kuongea tuu! Ila this season man u wako hot..
Ndio mana nimemuuliza kama ile au ya kudownload hiyoLeo nimeamua kuvunja mzizi wa Fitina..[emoji41][emoji41]
Rashford ni wembe...! Yaani beki za pembeni zinapoteza muda kumfata..Lukaku yupo vizuri
Rashford bado ana gonjwa sugu la kukosa magoli
Ila leo Rashford kajitahidi
....
Naam[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] T ukuje
Hizo Panadol sio ambulance mkuu [emoji3][emoji3]Ipo kwa Kimario
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
......
Afu sijui hata kaenda wapi?Ahahhah na we T umeliona hilo
Tukutane kesho mdauRashford ni wembe...! Yaani beki za pembeni zinapoteza muda kumfata..
Akiwapiga chenga zake zile kama za perisic ! Mara anajaza majalo kwa Luka-magoli
[emoji6][emoji6][emoji4][emoji4]Thank you Madame. ..[emoji6] [emoji6]
Tabora mjini,Tabora sehem gani mkuu!?
Tycoon MAKAVELI Jr.
Niko Tabora kweli...!Hiyo upo tabora
Hivi kweli aumwe asiniambie huko aje kulia kapuku [emoji23][emoji23][emoji23] alikua anakudekea ujue sasa hivi ameshalalaAfu sijui hata kaenda wapi?
Usiku mwema na wewe mkumbatie wifi vizuriTukutane kesho mdau
Ngoja niwaache na Shunie
Muwe na usiku mwema
.......