Nakuiga [emoji15] basi ningemuiga Baba D nishabikie chelsea jamanUnaniiga eeh?
Leo sijui hata nisherekee kipi yaani?
Hapana sipo nae T ahahhah kulanaNikafikiri uko na kaka...! [emoji41][emoji41]
Mnafanya nile neno unalopendaga..
Natamani nyama ya kinyonga
Eeeh..
Hahaaaaa....Ni huyo huyo nani mwingine jaman
Leo hadi kucheeee...
Ndio maana sipendagi mazoea na nyuki
Hahahhaha[emoji23][emoji23][emoji23]Ndio maana sipendagi mazoea na nyuki