Hapokei simu zangu tangu mchana..!Hivi kweli aumwe asiniambie huko aje kulia kapuku [emoji23][emoji23][emoji23] alikua anakudekea ujue sasa hivi ameshalala
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kaah! Ndio unasema je sasa hapo?
Au umenishushua?
Ni huyo huyo nani mwingine jamanHusna?
[emoji3][emoji3][emoji3]
Aiseee
Kwa no ipiiiiHapokei simu zangu tangu mchana..!
Ndio hapo sasa magoli Kama mawili hiviSamtaimu mtu ushanyanyuka kushangilia halafu unashangaa Rasheed anakosa goli kindezi kabisa
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
....
Unaniiga eeh?Man u kama simba ujue T
Nikafikiri uko na kaka...! [emoji41][emoji41]Nipo mwenyewe T hakuna kazi yoyote