Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,977
Ahahah yaan shemela we ni mchochezi jaman ni lee jaman hakunaga zaidi ya lee hapo kama nakuonaAkikujibu nishitue
Ahahah yaan shemela we ni mchochezi jaman ni lee jaman hakunaga zaidi ya lee hapo kama nakuonaAkikujibu nishitue
AsanteWhat
Hongera...!
Safi za weweHabari ya Jumapili makapuku forum
We wakupimwa kojoUezidiwa hata na muosha rungu
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
......
HahahaNdondo cup bana shabiki kaiba kibendera![]()
Aisee...
Hiyo mambo ya kuchapwa nilichapwa sana...! Ila ikashindikana..! Matokea yake natumia left kila kitu ila kurusha jiwe ni mkono wa kulia..![]()
Chakula nakula na mkono wowote ! Utakaoanza Twende kazi.
Ila sishauri kuchapa watoto wakitumia left.
PotezeaMambo zipi tena dada hizo za kuchapia
Mmh na wakati simba ni meneja labda team nyingineWatamsajili simba msimu huu
Vaa sweater bhanaamwehu wewe ujue nimekuelewa sana
Shunie kaja
Hapana shemela itokee fanta na mirinda hakuna ndio nitakunywa pepsi au cocaPepsi je
Bora usiwemo..
Ila unisaidie kunitetea kwa mama km akitaka kunichapa![]()
![]()
![]()
Tycoon MAKAVELI Jr.

Sawa mkuuAchana na hao jamaa...!
No like ! No comment
AsanteAlright...!
Usingizi mnono mkuu..
Woooooooozaaaaa mbona mkuuAlright...!
Usingizi mnono mkuu..