makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 35,856
- 103,989
Ugomvi sie hatuujui.. sie ni vicheko tuHatujsgombana nae
Tulikuwa tunamwelewesha tu kwamba kapotea njia
Ila tulimkaribisha kwenye nyumba
![]()
![]()
![]()
...
Tycoon MAKAVELI Jr.
Ugomvi sie hatuujui.. sie ni vicheko tuHatujsgombana nae
Tulikuwa tunamwelewesha tu kwamba kapotea njia
Ila tulimkaribisha kwenye nyumba
![]()
![]()
![]()
...
Kweli huko uswaz...Hukuu ndani ndani kwenye wahuni wakabaji maka
Ndani ndani huku kuna chochoro choro nyingiiiKweli huko uswaz...
Tycoon MAKAVELI Jr.
Hhmm.. yule kashindikana, ana maongez proof, hata umuombee vip yanadunda..Hapana aisee hayo maombezi mfanyie husna
Lini nilitukana!!?Leo afadhali hujatukana
![]()
![]()
![]()
.
.
.
Ngoja niendelee na mengine
Tukutane kesho
........
Kama hujaelewa basi..Ndio umemaanishaje hapo maka
Sawa ntakutua, wee si mtungi wa maji..unitue babuuu
Alisahau au alijisahaulisha..husna alisahau mkoba wake kwake
Haya.. navungaZinauma kwa kucheka jaman ebu zihurumie maka
Mpaka tozi.. kweli husna togwa la ngomani aiseeHusna shemeji yako kwa toz ujue
Kweli una roho ngum.. kwa hali hii unaweza ukakaa hata motoni.Me nina roho ngumu ujue maka najionea kawaida tu
Hapna unatakiwa uende nae tu taratibu maka yale mambo hayanaga ubabeHhmm.. yule kashindikana, ana maongez proof, hata umuombee vip yanadunda..![]()
![]()
Tycoon MAKAVELI Jr.
Alisahau au alijisahaulisha..![]()
![]()
Maana yule nae yumo, chakubimbi 1st class.
Tycoon MAKAVELI Jr.



Mpaka tozi.. kweli husna togwa la ngomani aisee![]()
![]()
![]()
Tycoon MAKAVELI Jr.



WoiiiiiiiiHashindwi yule..
Tycoon MAKAVELI Jr.
Kuna watu ibilisi wamepanga ila wengine wamejenga makaz... husna ntapoteza tu ugali wangu tembele..Hapna unatakiwa uende nae tu taratibu maka yale mambo hayanaga ubabe
Kweli una roho ngum.. kwa hali hii unaweza ukakaa hata motoni.
Tycoon MAKAVELI Jr.


me nakaa popote pale mapenzi hayanisumbui maka roho yangu hii namshkuru sana Mungu aisee