shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,912
Nzuri kabisa my love, baridi tuSalama baba wawili hbr ya ugenini hko
Nzuri kabisa my love, baridi tuSalama baba wawili hbr ya ugenini hko
Kipo ambacho hakina sukari. Kile kiazi cha chips[emoji23] [emoji23]
Kwan kuna kiaz kichungu!?
Tycoon MAKAVELI Jr.
Ngoja waje [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Hana jina shemela huyo unayempa hongera
Hapo sawaKitamu[emoji1] [emoji1]
Kumbe..!!!Aahh.. huko ndio umebobea we fuatlia mamuv yao ya kichaw utagundua vitu vingi vilivyojificha.. cz nyingine huwa ni story ya ukweli kabisa..
Tycoon MAKAVELI Jr.
Dar.. nyoko bwana..Huko nilishapazoea
Nilikuwa navaa singlend tu....sweta mara chache maana napenda baridi hata kuoga nilikuwa sichemshi maji
Sio huku Dar joto kama kwenye tanuru
.....
Hivi kule kwa tivu mbona hatukuoni au unasoma kimya kimya mpendwa wa binamu[emoji144] [emoji144]
Nzuri kabisa jirani,vip vijana wetu wanasemajeSwalama jiran, wajionaje na hali!?
Tycoon MAKAVELI Jr.
Msukuma mkokotena au!?Kwendeni zenu huyo ni Msukuma
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
.....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ntawakimbiaNgoja waje [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Pole sweta nlikuwekea kwenye begi humo umeiona?Nzuri kabisa my love, baridi tu
Kwa nini shemelaShemela umeanza hii avatar sijui kama ina maisha marefu
Kweli mke mwee usikute mumeo alikuwa anaongea na simu[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Duuu mwaka mzimaa...??!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Pole sweta nlikuwekea kwenye begi humo umeiona?
Hapana shemela nawaza tu apa umeshaanza na uchocheziKwa nini shemela
Ni kweli kabisa jamaa ni wachawi sana aisee dead silenceAahh.. huko ndio umebobea we fuatlia mamuv yao ya kichaw utagundua vitu vingi vilivyojificha.. cz nyingine huwa ni story ya ukweli kabisa..
Tycoon MAKAVELI Jr.
Kwa kiswahili fasaha ndio huitwa kigego?Duuu mwaka mzimaa...??!!!
Alitoka keshatambaa humo humor...!