shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,911
Ankali kama unarudia za janaLeo katika Historia
1943 - Jenerali Parvez Musharraf anazaliwa.
Ni Jenerali na Rais wa 10 wa nchi ya Pakistan.
Ankali kama unarudia za janaLeo katika Historia
1943 - Jenerali Parvez Musharraf anazaliwa.
Ni Jenerali na Rais wa 10 wa nchi ya Pakistan.
Salama kabisaNjema mpendwa za ww?
Nawe pia ankali na Asante kwa historiaSina la ziada,
Kwa leo naishia hapa! Muwe na weekend njema
Shemela, acha tu kitu inaitwa kupendaSikatai koncho najua ni mapenzi lakini utampendaje mtu ambae hakupendi haonyeshi hisia zake kwako we ni mtu wa kumpenda yeye tu kila siku hapana jaman inauma na Mungu kaumba kusahau utaumia kwa mda mfupi badae utazoea muache aende utakuja tu mpata mtu aliye sahihi kwako atakaekupenda kama unavyompenda yeye
Kweli kabisaKuna watu wabishi
Kiuhalisia wenye uwezo kipesa dio wanaongoza kung'ang'ania maana wanafikiri kwa pesa walizonzo siyo rahisi kukataliwa tpfauti na maskini akikataliwa huchapa lapa na kuamini umaskini wake umemponza
....
Sawa shemela mlalo vipi utafikaNipo lushoto mjini,nitakutumia shemela wangu
Shemela naijua hiyo kitu ujue si wengine huwa tunaingia mazima yaan tunaingia na miguu yote miwili acha kabisa hiko kitu nina uzoefu nacho ujue shemelaShemela, acha tu kitu inaitwa kupenda
Ebana eeh vipi baridi huko?Nipo lushoto mjini,nitakutumia shemela wangu
Morning makaMorng jirani
sent using my nokia ya tochi
Na ile uliyoweka mwanzo ni nini jamanKutokana na tatizo la kiufundi lililojitokeza siku ya leo hakutakuwa na leo katika historia
Mniwie radhi
Swalama vip shem??Habari ya jumamosi Makapuku??
100%Sikatai koncho najua ni mapenzi lakini utampendaje mtu ambae hakupendi haonyeshi hisia zake kwako we ni mtu wa kumpenda yeye tu kila siku hapana jaman inauma na Mungu kaumba kusahau utaumia kwa mda mfupi badae utazoea muache aende utakuja tu mpata mtu aliye sahihi kwako atakaekupenda kama unavyompenda yeye
Limepita hilo shem.Kutokana na tatizo la kiufundi lililojitokeza siku ya leo hakutakuwa na leo katika historia
Mniwie radhi
Morng bibie shunie, umeamkaje mamiiMorning maka
Mara nyingine mtu anaamua kuendelea kuishi nae ili aone kama atabadilika maana yake anamvumilia.Sikatai koncho najua ni mapenzi lakini utampendaje mtu ambae hakupendi haonyeshi hisia zake kwako we ni mtu wa kumpenda yeye tu kila siku hapana jaman inauma na Mungu kaumba kusahau utaumia kwa mda mfupi badae utazoea muache aende utakuja tu mpata mtu aliye sahihi kwako atakaekupenda kama unavyompenda yeye