makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 35,856
- 103,979
Wee wa kuniombea mie nife weye..Mimi habithul amal eeeh![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Madame S
sent using my nokia ya tochi
Wee wa kuniombea mie nife weye..Mimi habithul amal eeeh![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Madame S
Labda ww hujanielewa mkuu, anyway tuachane na hii mada cz haina mashiko sababu kila mtu na moyo wake na uwezo wa kupambana na maseke..
sent using my nokia ya tochi





Ukakojoe ukalale..Nikimaliza kushangaa?
Madame S
Wewe asije akajiona supastaa bureAcha woga wewe...
Ndio kukosa confidence kunakuangusha..![]()
Aiseee....Wewe asije akajiona supastaa bure![]()
![]()
Mie sijamtongoza, nilikuwa namtaka![]()
![]()
![]()
sent using my nokia ya tochi
Watu wa aina yake wako wengi siku hizi ....huwezi kuelewa mpaka upate hio experience! Sasa utaminyana naye mpaka asubuhi hajakutana nayo hiyo... Na mtu anaweza akaishi mpaka akafa asiexperience jambo hilo.....sure, hajakuelewa hata kidogo! Love affair ni kitu cha moyo na sexual affair ni hisia zaidi , ukikosa cha pili huumii maana unaweza kuipata popote ila ya kwanza ikichezewa basi si ajabu ukaona mtu anachukua maamuzi utakayoyaita ya kijinga
HongeraaDaaaah!
Shunie unaharibu ujue..
AiseeeeHiv mara yako ya mwisho kutongozwa afu ukalia ni lini...?
Salama kaka ake,hbr ya kupotea salamu ako nlpataWakuu habari za humu ndani
Kwema,umzima?Kwema humu bandugu
....sure, hajakuelewa hata kidogo! Love affair ni kitu cha moyo na sexual affair ni hisia zaidi , ukikosa cha pili huumii maana unaweza kuipata popote ila ya kwanza ikichezewa basi si ajabu ukaona mtu anachukua maamuzi utakayoyaita ya kijinga
