7/
Helen Keller
Ni mzaliwa wa Alabama
Alizaliwa mwaka 1880 na kufariki dunia mwaka 1968 akiwa na umri wa miaka 88
Huyu sio tu alikuwa haoni bali pia hasikii kitaalamu wanaitwa
Kiziwi asiyeona ukienda pale shule ya Uhuru Mchanganyiko utawakuta watoto wa aina hiyo hawa kueafundisha ili wakuelewe ni jambo gumu linalohitaji moyo na kujitolea
Sasa huyu pamoja na hali yake alikomaa na shule na kufanikiwa kuwa
Kiziwi asiyeoona wa kwanza kupata Shahada ya Sanaa yaani alikomaa na nukta nundu tena bila kumsikia mtu hadi chuo kikuu !!!
Huyu alikuwa ni
Mhadhiri &Mtunzi
Kaandika vitabu kibao vilivyotikisa na kuishangaza dunia
Huyu ndiye kiziwi asiyeona maarufu zaidi duniani
.......