Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,632
5/Jeff Healey
Alizaliwa mwaka 1966 na kufariki dunia mwaka 2008 akiwa na umri wa miaka 41
Huyu alikuwa ni raia wa Canada mwenye vipaji kibao licha ya ulemavu wake wa mcho
Alikuwa ni Mwimbaji,mpiga gitaa na mcheza filamu mahiri huko Canada na Marekani
Huyu alipambana na hali yake licha ya kubezwa hadi kufanikiwa kuwa mtu mashuhuri kwenye filamu na muziki kiasi cha kupiga pesa ya maana kwa kuutumia ulemavu wake bila kupiga watu assist kama za bwana yule wa Jf na akafanikiwa kumiliki bendi
kibao cha Angel Eyes, ndio kilichotamba zaidi kiasi cha kukamata # 5 Billboard Hot 100 na kuuteka ulimwengu
Kaimba pia :
I Think I Love You Too Much
Stop Breaking Down
Hoochie Coochie Man
Like A Hurricane
......