Makapuku Forum

Makapuku Forum

0583ffc428171ef4c236f3b4fac9d0e9.jpg
Hii ndio beki 3 bora kwa sasa tz

sent using my nokia ya tochi
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sawa banaa ila makaveli alijitahidi kuchana banaa na swaga zake za kianalogia
Sasa we unataka nihangaike kidijitali kwa viuno vya usiku m1, siku hizi hatutak tabu sio mtoto umtoe auti, alee vyakoo wee, halaf uje kumtongoza akatae aisee inauma[emoji23] [emoji23]

Siku hiz short n clear unaweka propozo hadharan halaf unasikilizia reaction...[emoji23]

sent using my nokia ya tochi
 
Huyo mke unamtaja taja tuu, ndoa ulinifungisha weye.. wacha unaa

Nangoja siku yangu itimu.. inaonekana utafurah kusikia makaveli nimevuta sio.. habithul amal wee[emoji23]

sent using my nokia ya tochi
Mimi habithul amal eeeh [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji19] [emoji19] [emoji19] [emoji19] [emoji19]

Madame S
 
Back
Top Bottom