Makapuku Forum

Makapuku Forum

10/Doc Watson
1ea70eb118099588937d6e1bb6472d51.jpg
6b435a7188913e568ecc92f2ef0224cd.jpg
1f43492aff99cadf0357d460d8512d4d.jpg
Alizaliwa mwaka 1923 na kufariki dunia 2012 akiwa na umri wa miaka 89
Huyu alikuwa ni msanii wa muziki licha ya kuwa kipofu(sijui hili neno ni tusi)
Alikuwa ni mwimbaji na mpiga gitaa mahiri
Wazaziwake wamechangia mafanikio yake maana hawakumtenga wala kumficha
Kaimba ngoma kibao kama vile
Sitting On Top Of The World

Deep River Blues
Shady Grove
Doc's Guitar

N.k
.......
 
10k kwa 100g
Matumizi yake ni kuweka kwenye maji, juice au smoothie (vimiminika) sio lazima usage ukiweka tu kwenye maji baada ya dakika 5 zinachange na kuwa na weupe! Hapo sasa ndio unakunywa, unaweza kutafuna au kumeza tu bila kutafuna
Sawa nashkuru, mteja analetewa mpaka mahali alipo ama!?

sent using my nokia ya tochi
 
Halafu akanizodoa huyo wakati nilijibu sahihi kabisa

Madame S
Nisamehe bure bibie, wala sikuitizma ile pic, tangazo la chia seeds nilikuwa nimeliona siku za nyuma so najua faida.. kwahyo nilipoliona pale nikaulizia bila kufungua,

Mimi ndio nilikuwa wrong, nawe ulikuwa sahih..

sent using my nokia ya tochi
 
VITA YA MAREKANI NA VIETNAM:

Sehemu ya 05:

Tulipoishia ndipo tunapoanzia

Mambo yalipozidi unga ikabidi C.I.A kw kutumia za kijasusi waliandaa maandamano ya kuwafanya wananchi wa MAREKANI kupinga nchi yao kujiingiza ktk vita isiyowahusu.

Hatimae MAREKANI kw shingo upande wakiwa wanahemea puani wakaanzisha visingizio eti kw kuwa wanachi wanaandamana inabidi tuondoe vikosi vyetu vitani. Hiyo ikawa chupuchupu yao wakiwa hawaamini kabisaaa mziki wa wavyetinam.

Ilipofika mwaka 1973 waliondoa vikosi vyao na kuikabidhi vyetinam kusini jukumu la kuendelea na mapambano wao wakainua mikono na kuwaachia msala wenzao vyetinam kusini waeendelee kuzichapa na vyetinam kaskazini.

Vietnam kaskazini sasa wakapata mwanya wa kuichakaza vyetinam kusini kwa miaka 2 mfululizo na hatimae mwaka 1975 vyetinam kaskazini ikaukamata mji wa SAIGON uliokua unamilikiwa na vyetinam kusini.

Kipigo hakikuishia hapo kwn mwaka mmoja baadae kusini na kaskazini zikaungana na kutengeneza nchi moja ya jamuhuri ya watu wa vyetinam. Wamarekani na mikwara yao ya kuingia vitani na midege mikubwa ya B -52 na mizinga mikubwa ila wakaisoma namba.

Nguvu bila maarifa ni kupoteza Mali. Helkopta, chemical za kupukutisha majan kwenye miti maarufu km defoliants lkn wapi.

Yaani nikikurudisha nyuma kidogo nikwamba MAREKANI walitumia nguvu kubwa bila maarifa. maana mwaka 1966 ndipo iliposhtukia mchezo wa kubadilisha makamanda kw wavyetinam ila walikua wamechelewa.

Inakadiliwa kuwa vita hiyo iligharimu maisha ya wavyetinam kati ya 966-000-3,800,00. Wakambodia kati ya 240,000-300,000. Walaotia kati ya 20,000-62,000 na hali wa MAREKANI zaidi ya 58,220 na zaidi ya 1,626 wakipotea na hawakujulikana walipo mpaka leo. Walitimua mbio mpaka wakapotea yaani sijui walienda sayari gani. Waliobaki ndo waliorudi vikosi vyote.

MWISHO.......

Nimeandika kw kifupi kupunguza urefu wa story maana matukio mengi yanajirudia. Kifupi nimeangalia point point tuu. Ukitaka kupata utamu kamili ingia YouTube search VIETNAM WAR. Utaipata yote na kuiangalia vzr japo zipo muvi nyingi kuhusu vita hy.

Kila kikosi cha kimarekani kilichoponea chupuchupu kiliandaa muvi ya mapambano ya upande wao ilivyokua ndomana picha za kivita ya vyetinam ni nyingi.
Shukuran bibie

sent using my nokia ya tochi
 
9/Diane Schuur
29f084d5519b68813cfdff19c1485466.jpg
21b9790ea7b6c8401d524598cb208c51.jpg
9d4fa9fa7e0a67528c449bba492ee1b2.jpg

Alizaliwa Disemba 10 mnamo mwaka 1953
Huyu ni kipofu mwingine mjanjamjanja ambaye anakimbiza tu kwenye muziki wa Jazz yaani huyu kwa wasioona ndiye Madonna wao
Siyo tu anafanya muziki kutafuta sifa bali anaingiza mpunga wa maana kupitia sanaa
Huyu amenyanyapaliwa sehemu kibao ila akakomaa nao na kuwadhihirishia kwamba kukosa macho/kuona sio kukosa akili na kipaji
Kapiga ngoma kibao kama vile
Louisiana Sunday Afternoon
Deedle's Blues
Easy To Love
TheMan Ilove

Ana album 23 na zinskimbiza tu sokoni na kuongiza mpunga The Man I Love
.....
 
....sure, hajakuelewa hata kidogo! Love affair ni kitu cha moyo na sexual affair ni hisia zaidi , ukikosa cha pili huumii maana unaweza kuipata popote ila ya kwanza ikichezewa basi si ajabu ukaona mtu anachukua maamuzi utakayoyaita ya kijinga
100% nyie hamjanielewa.. nilikuwa mazungumzia mapenz hasa na si ngono..

sent using my nokia ya tochi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom