Makapuku Forum

Makapuku Forum

VITA YA MAREKANI NA VIETNAM:

Sehemu ya 05:

Tulipoishia ndipo tunapoanzia

Mambo yalipozidi unga ikabidi C.I.A kw kutumia za kijasusi waliandaa maandamano ya kuwafanya wananchi wa MAREKANI kupinga nchi yao kujiingiza ktk vita isiyowahusu.

Hatimae MAREKANI kw shingo upande wakiwa wanahemea puani wakaanzisha visingizio eti kw kuwa wanachi wanaandamana inabidi tuondoe vikosi vyetu vitani. Hiyo ikawa chupuchupu yao wakiwa hawaamini kabisaaa mziki wa wavyetinam.

Ilipofika mwaka 1973 waliondoa vikosi vyao na kuikabidhi vyetinam kusini jukumu la kuendelea na mapambano wao wakainua mikono na kuwaachia msala wenzao vyetinam kusini waeendelee kuzichapa na vyetinam kaskazini.

Vietnam kaskazini sasa wakapata mwanya wa kuichakaza vyetinam kusini kwa miaka 2 mfululizo na hatimae mwaka 1975 vyetinam kaskazini ikaukamata mji wa SAIGON uliokua unamilikiwa na vyetinam kusini.

Kipigo hakikuishia hapo kwn mwaka mmoja baadae kusini na kaskazini zikaungana na kutengeneza nchi moja ya jamuhuri ya watu wa vyetinam. Wamarekani na mikwara yao ya kuingia vitani na midege mikubwa ya B -52 na mizinga mikubwa ila wakaisoma namba.

Nguvu bila maarifa ni kupoteza Mali. Helkopta, chemical za kupukutisha majan kwenye miti maarufu km defoliants lkn wapi.

Yaani nikikurudisha nyuma kidogo nikwamba MAREKANI walitumia nguvu kubwa bila maarifa. maana mwaka 1966 ndipo iliposhtukia mchezo wa kubadilisha makamanda kw wavyetinam ila walikua wamechelewa.

Inakadiliwa kuwa vita hiyo iligharimu maisha ya wavyetinam kati ya 966-000-3,800,00. Wakambodia kati ya 240,000-300,000. Walaotia kati ya 20,000-62,000 na hali wa MAREKANI zaidi ya 58,220 na zaidi ya 1,626 wakipotea na hawakujulikana walipo mpaka leo. Walitimua mbio mpaka wakapotea yaani sijui walienda sayari gani. Waliobaki ndo waliorudi vikosi vyote.

MWISHO.......

Nimeandika kw kifupi kupunguza urefu wa story maana matukio mengi yanajirudia. Kifupi nimeangalia point point tuu. Ukitaka kupata utamu kamili ingia YouTube search VIETNAM WAR. Utaipata yote na kuiangalia vzr japo zipo muvi nyingi kuhusu vita hy.

Kila kikosi cha kimarekani kilichoponea chupuchupu kiliandaa muvi ya mapambano ya upande wao ilivyokua ndomana picha za kivita ya vyetinam ni nyingi.
 
ndo maana Lee aliamua kuwatunza pipi ili aitwe muzee ya peremende
096e5a7ecbd1db3b77a227b51b2490cf.jpg


....
 
Tatizo Hujanielewa.... Bado hujawa involved in 'love affair' umekuwa involved in 'sexual affairs' that is why.... I


....sure, hajakuelewa hata kidogo! Love affair ni kitu cha moyo na sexual affair ni hisia zaidi , ukikosa cha pili huumii maana unaweza kuipata popote ila ya kwanza ikichezewa basi si ajabu ukaona mtu anachukua maamuzi utakayoyaita ya kijinga
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom