Makapuku Forum

Makapuku Forum

Me hata hizo mbaazi siziwezi jaman na njegere mpaka auntie yangu huwa ananiambia na mapepo niende kanisani nikaombewe namjibu sawa auntie nina mapepo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbaazi njegere natumia zipikwe vyovyote vile kizaazaa kipo kwenye maharage ya sukari na hizo kunde ziwe za sukari niko radhi nishinde njaa siziwezi kabisa

Madame S
 
Back
Top Bottom