Makapuku Forum

Makapuku Forum

Hv kwann uumie kwa mtu ambae ameshindwa kukujali, kukuthamin wala kukuheshimu mie naonaga uwendawazim.. mtu ashindwe kuthamin upendo unaompa halaf eti uumie..

Principle yangu kubwa sijaweka upendo mbele mie naamin sijui kupenda ila natoa nnachopata.. km atanipa upendo 100% mie ntampa same, akitoa 12 natoa 12 au chin kidogo.. 50 kwa 50, labda huyu wa 100% ndio aniumize lakin kiuhalisia hakuna wa 100 kajitahd 70 au 80.. so ukichukulia hvyo kidogo kidogo kwiva, mie mtu kadri anavyonikosea ndio thaman inashuka, nikikuta kamesej thaman inashuka halaf mie si mzungumzaji, naishia kudharau, kwahyo atakuwa anakuja napiga mbupu, tunatoka sehem mbali mbali ila mie moyon hayumo, sasa siku likitokea kubwa inakuwa si ishu sana, tayar moyon nafas yake ishakuwa finyu.. nafuta namba maisha yanasogea.. km mpira vile wa goalkick naanza moja, so hatoweza kuona chuki wala kusikia tusi kutoka kwangu thats y wengi tulioshindwana still story zipo pale pale.. anakaa kikimuwasha anakukumbuka..

Ukiyaweka sana moyon unaweza kufaa.. acha moyo usukume damu mkuu.. be brave, be strong, be positive..
Tatizo Hujanielewa.... Bado hujawa involved in 'love affair' umekuwa involved in 'sexual affairs' that is why.... I
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom