Madame S
JF-Expert Member
- Mar 4, 2015
- 17,177
- 34,444
Mungu ampumzishe alipopachagua alipokua hai![]()
![]()
![]()
![]()
g'wizukulu jilala matunge au Dr limbe
Aliishi mbagala zakhem but ofisi yake ilikuwa mbagala kizuiani
Alimuoaga msanii Nuru nasor(Nora) wakazaa mtoto mmoja Wa kiume kisha wakaachana
Baadae Dr limbe akaaga dunia kwa ajali ya gari iliyotokea huko Angola
Ila mi nililipenda hili jina lake tu(ng'wizukulu jilala matunge) baasi
Simfahamu mama
Madame S