Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,585
MmhAbout what?! Nisha4get
Poa mke mwee za weweNambie mke mweee
Hiv mara yako ya mwisho kutongozwa afu ukalia ni lini...?






Jichekee tu mke mwee
Nishakuwa muhenga mie mke mwee nimewaachia nyie vijana mambo ya kutongozwaHutongozwi nn
Jibu basiii..unacheka nini?
Madame S
OraitiNaona kwako sio sunnah ni faradhi kabisa..

THE POWER OF LOVENi kweli kabisa maka kikubwa inabidi ujicontrol tu mwenyewe na hali yako au na maumivu yako kama unayo woiiiii mapenzi jamaan kwa nini lakini
Kuuma itauma ila inategemea na wewe unaruhusu maumiv yapenye kwa kiwango kipi.. ukiendekeza unaumia kweli unaweza hata kufa.
Hapa nimekuelewa sana maka kama mtu anakupenda sana na kukuthamini unaonyesha upendo ule ule ukiona humuelewi unaenda nae hivyo hivyo asante sanaaa
Shunie naomba nitumie picha hapa ya zile shanga aisee yote yako nimuonyeshe wifi yako akizipenda nimnunulie
woyoooooooooooo.........Ewwahh.. swadakta
Eehh.. inaitwa kukokotana style, huwez kulipenda jitu halielewek we unalijali lenyewe halina mpango, unafunga safar mpaka kwao ushachoma mafuta anakwambia sijiskii poa, huo si ni uwendawazi..

Na hakuna kosa kubwa kama adui yako kuliona choz lako.. usimuoneshe kama unaumia kwa mambo yake ya ajab umekwisha, anavimba bichwa hiloo kama dumu la lita 5

Me nilikwambia nauza shanga au nilishawahi kuweka tangazo la kufanya hizo biashara

Mambo ya husna hayo.. shunie na shanga wapi na wapi.. huyu muulizie chen ya kiuno n.k..
Maswala ya shanga ya ndugu yangu mzaramo husna bint muba![]()
![]()

Kama nakuona mpendwa wa binamu ujue haya maisha yalivyo magumu yanawavuruga sana watu anko magu alegeze kidogo
Sidhan.. vitu vya mpashukuna husna..
![]()
![]()
ntakupiga manatiiiiUnamjua??!!! Au unacheka tuHahahahahaha
Madame S