Makaveli asante jamaanYeeah.. anafanya wala hajali maumiv yako, kadri unavyoumia yeye roho yake kwatu, tena anaweza kwenda kwa wenzake mashoga au washikaj zake na akajisifi yule demu/mshikaj kafika, kuna hiki hiki na hiki,jana kalia si mchezo..
Ushawah kumuona afande kamkamata mtu au mjeda.. vile mtu anavyohenyeka yeye kwake burudan kabsa, akikwambia simama, kaa.. ukiwa unalalamika afande nionee huruma sijui nna ngiri sijui kibofu kibov ndio kwanza anaona sifa maumv yako kwake ni sifa, ni same kwenye mapenz wapuuz wengi wasiojua maana ya mahaba ndio wanaona ujanja wenyewe..
Mambo ya husna hayo.. shunie na shanga wapi na wapi.. huyu muulizie chen ya kiuno n.k..Shunie naomba nitumie picha hapa ya zile shanga aisee yote yako nimuonyeshe wifi yako akizipenda nimnunulie
Kikubwa ni kumuweka Mungu mbele tu maka ye ndio anajua mtu aliyekupa ila ujue Mungu huwa analipa sana unachomfanyia mwenzio ipo siku tu kitakurudia utapata mtu wewe unampenda yeye hana time na wewe kabisaNdio hapo wapuuz wachache wanatake as advantage
Morning my lovely hubbyMorning all kapuku
Ahahhh au binamu obeMambo ya husna hayo..
Mama jj huyooMorning my lovely hubby
Hahaaa... hamna bhanaUmeamua kutapika kabisa ..
Aisee..
Amin.. ahsante ndugu yangu..Makaveli asante jamaanumeongea vitu vimeniingia sana umenipa nguvu Mungu azidi kukubariki
What goz aroud comes aroud hyo huwa inatokea, wakat mwingine isitokee, kikubwa ukishamove on ndio basi yena ule msemo wa imetoka ikirud pancha unachukua nafas yake..Kikubwa ni kumuweka Mungu mbele tu maka ye ndio anajua mtu aliyekupa ila ujue Mungu huwa analipa sana unachomfanyia mwenzio ipo siku tu kitakurudia utapata mtu wewe unampenda yeye hana time na wewe kabisa
Kweli kabisaWhat goz aroud comes aroud hyo huwa inatokea, wakat mwingine isitokee, kikubwa ukishamove on ndio basi yena ule msemo wa imetoka ikirud pancha unachukua nafas yake..
Mungu nae wa ajabu mtu anaweza akakukosea n still akazid kufanikiwa, muhimu we mfute moyon.. chochote kinachotokea kwake wewe kwako kiwe sifur apate akose, still si kitu kwako..
Amin.. ahsante ndugu yangu..
Tubarikiwe sote..
Baraka iwe nasi daima
Singekuwa mpendwa wangu obe kujipitisha pitjisha Jana ungegongwa wewe haki ya nani tena