Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,585
Hhmm.. hii ngumu kumesaDid you know?!
![]()
Kama wewe bado umri wako utakuwa chini ya miaka 25Sio bure
Mwenzetu labda umesalitiwa na ng'ombe
![]()
![]()
![]()
....
Mumeo mbona anakuja sana hapa, jana tu tulikuwa nae tunapiga kahawa..Kwako nitakuja na Baba D makaveli tukaribishe tu familia yote jaman
Poa
Teh teh tehSawa maka kampe tu hiko kipigo vizuri
Kasema "asante kushukuru mdau"
Sex and love are two separate thingsUmri wangu mkubwa, ila katika vtu ambavyo nmewah kuapa havitakuja kuntingisha moyo ni mapenz.. nshakutana na vingi ila ukijua jinsi ya kuviface mambo madogo ukiweza kukuntroo mamlaka ya ubongo ndio kabsa..
Sasa mtu akatomb....e huko halaf roho ikuume kwan umet....mbwa wewe.. unadharau una take it easy maisha yanasogea
Me siwezi kuja bila yeye na mpaka akubali hiyo safari ndio tunaweza kujaMumeo mbona anakuja sana hapa, jana tu tulikuwa nae tunapiga kahawa..
NimejifunzaHii inasababibshwa na miamba ya chin kuvunjka along a fault(sudden slip on a fault), kuvunjika huku kwa ghafla, hii inasababisha seismic waves inayofanya ardhi itingishke haya mambo yanatokea kwenye miamba ya lithosphere mwamba wa chin kdogo ya uso wa dunia km km 50 mpaka 140
Cc.LeeMrs kwa mumewe kwetu ni miss tuu..
Ila ni kosa kuruhusu mapenz yakukontroo.. sijui wenzangu ila mie siwez, nshajiwekea msimamo na principle zangu. So hayanipasui kichwa japo kale kanafs kakuuma hakakosekani ila muda mchache mnoo..Kweli maka watu watajifanya kubisha lakini moyoni wanajijua wenyewe wanapelekwa pelekwa tu huko
pole mkuuMwanamke umbea kusutwa sunaWe kibiriti ngoma mbona hvyo, au ulitaka nikugonge ww nin.. maana limekukaa kweli bibie![]()
![]()
![]()
Koh koh koh koh..Umri wangu mkubwa, ila katika vtu ambavyo nmewah kuapa havitakuja kuntingisha moyo ni mapenz.. nshakutana na vingi ila ukijua jinsi ya kuviface mambo madogo ukiweza kukuntroo mamlaka ya ubongo ndio kabsa..
Sasa mtu akatomb....e huko halaf roho ikuume kwan umet....mbwa wewe.. unadharau una take it easy maisha yanasogea