Makapuku Forum

Makapuku Forum

Yeeah.. anafanya wala hajali maumiv yako, kadri unavyoumia yeye roho yake kwatu, tena anaweza kwenda kwa wenzake mashoga au washikaj zake na akajisifi yule demu/mshikaj kafika, kuna hiki hiki na hiki,jana kalia si mchezo..

Ushawah kumuona afande kamkamata mtu au mjeda.. vile mtu anavyohenyeka yeye kwake burudan kabsa, akikwambia simama, kaa.. ukiwa unalalamika afande nionee huruma sijui nna ngiri sijui kibofu kibov ndio kwanza anaona sifa maumv yako kwake ni sifa, ni same kwenye mapenz wapuuz wengi wasiojua maana ya mahaba ndio wanaona ujanja wenyewe..
Makaveli asante jamaan umeongea vitu vimeniingia sana umenipa nguvu Mungu azidi kukubariki
 
Kikubwa ni kumuweka Mungu mbele tu maka ye ndio anajua mtu aliyekupa ila ujue Mungu huwa analipa sana unachomfanyia mwenzio ipo siku tu kitakurudia utapata mtu wewe unampenda yeye hana time na wewe kabisa
What goz aroud comes aroud hyo huwa inatokea, wakat mwingine isitokee, kikubwa ukishamove on ndio basi yena ule msemo wa imetoka ikirud pancha unachukua nafas yake..

Mungu nae wa ajabu mtu anaweza akakukosea n still akazid kufanikiwa, muhimu we mfute moyon.. chochote kinachotokea kwake wewe kwako kiwe sifur apate akose, still si kitu kwako..
 
Kweli kabisa
 
c6bd2337e46d0f1bd6d84f06caa02b48.jpg

Madame S
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom