Makapuku Forum

Makapuku Forum

*Darasani*

*MWALIMU* Nakua mbona Leo unawaza sana darasani?

*NAKUA* kwasababu baba yupo polisi na mama yupo hospitali

*MWALIMU* ooh pole mwanangu, kwa hiyo unahitaji kwenda nyumbani?

*NAKUA* ndio MWALIMU

_NAKUA akaenda nyumbani, na MWALIMU akawauliza wanafunzi wenzie_

*MWALIMU* kwanini baba Yake NAKUA yupo polisi na mama yake yupo hospitali?

*wanafunzi* kwasababu baba yake ni polisi na mama yake ni nesi



*MWALIMU* pumbavu sana huyu mtoto! Mwiteni arudi


*‍♂*
 
Halafu leo niko free! Kwa hiyo ntakuwepo hapa kwa mapana na marefu!!

Leo katika historia inawajia hivi punde tu kwa hisani ya Chia seeds.....
e916abc980ce44846b61a7ef84552569.jpg

Karibuni sana
Endelea twin
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom