Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,632
Leo katika Historia
1973 - Lisa Raymond anazaliwa.
Ni mcheza Tennis toka nchini Marekani.
Leo katika Historia
1973 - Lisa Raymond anazaliwa.
Ni mcheza Tennis toka nchini Marekani.
Leo katika Historia
1975 - Ilhan Mansiz anazaliwa.
Ni mchezaji wa mpira wa miguu toka nchini Uturuki. Ni ustaadh huyu jamaa
Za mwamkoYupo, yupo tight kidogo wii
Madame S
AsanteLeo katika historia inawajia kwa hisani ya matokeo ya uchaguzi huko Kenya
Karibuni sana
HBD Roy KeaneLeo katika Historia
1971 - Roy Keane anazaliwa.
Mchezaji na Nahodha wa zamani wa Man Utd.
Asante ankali JJ kwa historiaKwa hisani ya matokeo ya uchaguzi huko Kenya sina la ziada kutoka kwenye leo katika historia
Niite Jimena Jimenes Asanteni sana na nawapenda wote!!
Leo katika Historia
Ni siku ya Jeshi la Argentina.
Madame s,habar
post using my macbook air using jamiiforums app

njema sana
Vunga shem.. kwan kuna baya lolote kawah kukufanyia pamoja na kupuliza cha arusha..Mume wngu na kitu cha Arusha
Vip hali ndugu yanguMorning all kapuku
Hahaaa...Shemela basi jaman umeshakubali nilichoongea kuhusu kumuita baba d mzee wa totoz sijui mzee wa peremende mjue mtamsabisha baba d nimlaze chini endeleeni tu kumuita hivyo
Ndio unavyojitamba mbele ya mke au sio..Weee waache ntawapiga makwezi kama yule kiboro dindaz ....
Mimi nshaacha kabisa sitaki kumkera mke wangu nimetulia nimetulizwa sasa hao wanaongea watasema wanayatoa wapi...
Me and only shunie ...nakupendaa jamanii ..

Kwahyo shemela we ni troublemaker eehh..Inanihusu hii
Mtata keane hapa yeye hapa patrick viera hapo kati nyas zinaomba poo..Leo katika Historia
1971 - Roy Keane anazaliwa.
Mchezaji na Nahodha wa zamani wa Man Utd.
Mkongwe huyu anaheshima kibao..Leo katika Historia
1973 - Javier Zanetti anazaliwa.
Ni mchezaji wa zamani wa Inter Milan na Timu ya Taifa ya Argentina.
MkuluuuuVip hali ndugu yangu
Heshima kwako naekenyaaaaa saluuuutiiiNdio unavyojitamba mbele ya mke au sio..![]()
![]()
![]()