Makapuku Forum

Makapuku Forum

1a0cc9d1847784b2efd27e25738adc5d.jpg
 
Katika dondoo za bbc. ..

......Wakenya waendelea kusubiri kutangazwa matokeo ya uchaguzi mkuu.

.....Nao Muungano wa wafanyabiashara watoa wito kwa wakenya warejee kazini wakati wanasubiri matokeo

.....Na Polisi Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo yawashikilia wanaharakati waliojaribu kuipindua serikali ya nchi hiyo.
 
9 wewe niliyekushika toka miisho ya dunia, na kukuita toka pembe zake, nikikuambia, Wewe u mtumishi wangu; nimekuchagua wala sikukutupa;

Isaya 41 :9
10 usiogope, kwa maana mimi ni pamoja nawe; usifadhaike, kwa maana mimi ni Mungu wako; nitakutia nguvu, naam, nitakusaidia, naam, nitakushika kwa mkono wa kuume wa haki yangu.

Isaya 41 :10
11 Tazama, wote walioona hasira juu yako watatahayarika na kufadhaika; watu washindanao nawe watakuwa si kitu, na kuangamia.

Isaya 41 :11
12 Utawatafuta wala hutawaona wale wapiganao nawe; watakuwa si kitu; watakuwa kama kitu kisichokuwa, wale waliofanya vita juu yako.

Isaya 41 :12
13 Kwa maana mimi, Bwana, Mungu wako, nitakushika mkono wako wa kuume, nikikuambia, Usiogope; mimi nitakusaidia.

Isaya 41 :13
Amen
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom