Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,585
Nchi za ulaya ndio mipaka yake utacheka. Kuna restaurant moja iko mpakan ukikaa huku nchi nyingine ukikaa huku kwingine
Nchi za ulaya ndio mipaka yake utacheka. Kuna restaurant moja iko mpakan ukikaa huku nchi nyingine ukikaa huku kwingine

Hii inabid nikutaftie kwenye picha..
Hii inabid nikutaftie kwenye picha..

![]()
Sikio halizidi kichwa![]()
Alitaka kumzidi ukubwa SAF akaishia kutimuliwa
Vita yake uwanjani na Patrick Vieira ilikuw inaongeza utamu wa Man Utd v Arsenal
.....
Heshima yako ShululuAsante
Kwema bitozi?![]()
Limezalisha madikteta wengi pale Argentina![]()
.....
Mambo vipi kaveliHahaaa...
Za siku leeMkuluuuu
Dah!! Mia, inakuaje mwanangu?!Mambo vipi kaveli
Kumbe bado upo muba?Uhalisho haujawahi kumuacha MTU salama![]()
Salama tu, nikajua umebadili jinaDah!! Mia, inakuaje mwanangu?!
Hahaa... mie sina mambo hizo bhana, kwann nibadili.Salama tu, nikajua umebadili jina
Nikiwa kimya nakuwa nimetingwa tuu ndugu yanguSalama tu, nikajua umebadili jina
Niende wapi?!Kumbe bado upo muba?
![]()
![]()
![]()
Kachezea Inter zaidi ya mechi 700
Alikuwa nguzo ya Mourinho wakati Inter ikiitawala dunia
.....