Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,054
- 463,974
Asante cheupe wanguNakupenda we bonge wangu jamannikikumbuka kitambi chako nazidi kupagawa Baba D jaman
Hivi naniiii amekuteka binamu lakiniHivi
Hivi kumbe chipsi ni vizazi mbatata! Lol, mjini kuna mambo
Ila wasiofanana




na watoto wasiobadilishwa nguo hiko cha kwanza kimemfanana mama ake kweli
Bhasi sio cha shululuna watoto wasiobadilishwa nguo hiko cha kwanza kimemfanana mama ake kweli
Kipi shemela, hebu nikumbusheD mzima sana naona shemela unapotezea nilichokwambia nitakushtaki
Acha kumsumbua mke wanguKipi shemela, hebu nikumbushe
Shemela basi jaman umeshakubali nilichoongea kuhusu kumuita baba d mzee wa totoz sijui mzee wa peremende mjue mtamsabisha baba d nimlaze chini endeleeni tu kumuita hivyoKipi shemela, hebu nikumbushe
Asante shemela, mimi pia nakupenda shemela wangu au mama D,mama LeeHapa sawa shemela wangu ndio mana nakupenda ujue baba jj mwenyewe baba wa watoto mapacha wa kiume
Niko poa kabisa shemelaSalama shemela wangu umeamkaje lakini
Asante shemela wangu mie yote yote yangu hayoAsante shemela, mimi pia nakupenda shemela wangu au mama D,mama Lee
Weee waache ntawapiga makwezi kama yule kiboro dindaz ....Shemela basi jaman umeshakubali nilichoongea kuhusu kumuita baba d mzee wa totoz sijui mzee wa peremende mjue mtamsabisha baba d nimlaze chini endeleeni tu kumuita hivyo
Weee waache ntawapiga makwezi kama yule kiboro dindaz ....
Mimi nshaacha kabisa sitaki kumkera mke wangu nimetulia nimetulizwa sasa hao wanaongea watasema wanayatoa wapi...
Me and only shunie ...nakupendaa jamanii ..








Nitafanya hivyo shemela wanguBabu jaman namuona kwenye likes tu ujue shemela ebu akija msalimie mwambie mjukuu wake namsalimia
Asantee mamaHeri kuchagua jina jema kuliko mali nyingi, na neema kuliko fedha na dhahabu
Tajiri na masikini hukutana pamoja Bwana ndiye aliyewaumba wote wawili![]()
ZABURI 22:1-2
Muwe na asubuhi iliyo njema mbarikiwe sana![]()
![]()