Makapuku Forum

Makapuku Forum

[emoji524] Heri kuchagua jina jema kuliko mali nyingi, na neema kuliko fedha na dhahabu

Tajiri na masikini hukutana pamoja Bwana ndiye aliyewaumba wote wawili [emoji524]

ZABURI 22:1-2


Muwe na asubuhi iliyo njema mbarikiwe sana [emoji120] [emoji7]
[emoji120] [emoji120]

Hivi mama mchungaji yuko wapi jamani??
Kila nikiona hizi maneno namkumbuka sana
 
416b69c9ba2e03f56fd9577c438d34f9.jpg
Inanihusu hii
 
9 wewe niliyekushika toka miisho ya dunia, na kukuita toka pembe zake, nikikuambia, Wewe u mtumishi wangu; nimekuchagua wala sikukutupa;

Isaya 41 :9
10 usiogope, kwa maana mimi ni pamoja nawe; usifadhaike, kwa maana mimi ni Mungu wako; nitakutia nguvu, naam, nitakusaidia, naam, nitakushika kwa mkono wa kuume wa haki yangu.

Isaya 41 :10
11 Tazama, wote walioona hasira juu yako watatahayarika na kufadhaika; watu washindanao nawe watakuwa si kitu, na kuangamia.

Isaya 41 :11
12 Utawatafuta wala hutawaona wale wapiganao nawe; watakuwa si kitu; watakuwa kama kitu kisichokuwa, wale waliofanya vita juu yako.

Isaya 41 :12
13 Kwa maana mimi, Bwana, Mungu wako, nitakushika mkono wako wa kuume, nikikuambia, Usiogope; mimi nitakusaidia.

Isaya 41 :13
[emoji120] [emoji120] [emoji120]
 
Back
Top Bottom