Hivi naniiii amekuteka binamu lakini
Weee waache ntawapiga makwezi kama yule kiboro dindaz ....
Mimi nshaacha kabisa sitaki kumkera mke wangu nimetulia nimetulizwa sasa hao wanaongea watasema wanayatoa wapi...
Me and only shunie ...nakupendaa jamanii ..
Bhinamu heshima kwako ...najua unaendelea vizuriiHa ahahhahahaha, wewe ndo anko wangu wa ukweli, unajua kabisa wabaya wangu na wanajua unajua
Bhinamu heshima kwako ...najua unaendelea vizurii
Mfikishie salamu zanguYupo, yupo tight kidogo wii
Madame S
Asantee auntieKwa hisani ya matokeo ya uchaguzi huko Kenya sina la ziada kutoka kwenye leo katika historia
Niite Jimena Jimenes Asanteni sana na nawapenda wote!!
Niko poa ongera kwa kutekwa na kutekenyaNashukuru sana anko, niko POA. Sijui wewe
Leo katika Historia
1971 - Roy Keane anazaliwa.
Mchezaji na Nahodha wa zamani wa Man Utd.
MorningZimefika dada yetu mpendwa
Madame S
Leo katika Historia
1973 - Javier Zanetti anazaliwa.
Ni mchezaji wa zamani wa Inter Milan na Timu ya Taifa ya Argentina.
Madame s,habarZimefika dada yetu mpendwa
Madame S