shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,911
D hajamboBaba jj hizo mambo baba d kashaachana nazo jaman msimuite tena hayo majina shemela wangu
D hajamboBaba jj hizo mambo baba d kashaachana nazo jaman msimuite tena hayo majina shemela wangu
Morning mama D ...nashukuru kuona umeamka salamaaMorning Baba D nimeingia tu kumsoma mr x na kujua tu unavyoendelea
NakumisHatimaye mr x kauliwa na mwenyewe babu bubu haya mambo ya kuishi na adui yako huku kila mtu anamvizia mwenzie ndio mwisho wake unavyokua afande shebby masikini sijui atapokeaje hizi taarifa Baba D wangu asante![]()
Babu yako naye hajamboBaba jj hizo mambo baba d kashaachana nazo jaman msimuite tena hayo majina shemela wangu
Achana nao ...Baba jj hizo mambo baba d kashaachana nazo jaman msimuite tena hayo majina shemela wangu
Hawa nao utoto tu huyo mbasha na x wife wake hivi watu mkiachana lazima mwisho muanze kudhalilishana au ndio ule msemo wa wahenga ukiona hivyo jua bado mnapendana
Cuzoo wako hawajamboBaba jj hizo mambo baba d kashaachana nazo jaman msimuite tena hayo majina shemela wangu
Sipo sawa Baba D nimeingia tu mara moja huku natokaMorning mama D ...nashukuru kuona umeamka salamaa
Mm nipo
D mzima sana naona shemela unapotezea nilichokwambia nitakushtakiD hajambo
Mmmmmh nakuja soonSipo sawa Baba D nimeingia tu mara moja huku natoka
Hapa sawa shemela wangu ndio mana nakupenda ujue baba jj mwenyewe baba wa watoto mapacha wa kiumeHaya shemela wangu shunie nimekuelewa
Salama shemela wangu umeamkaje lakiniShemela za wewe
Heshima yko Obe nmekumic ujueukiweka mayonize kwenye chipsi si ndo wanaita chipsi mayai?
Hivi
Hivi kumbe chipsi ni vizazi mbatata! Lol, mjini kuna mambo
mimi ninakula sana , chipsi inapikwa wanatia nyanya na wakichanganya na ndizi mbona inabidi nizile na kijiko
Dada sakayo hajambo kabisa jana alikua amemwambia mke mwee akuitieNa Dada yako sakayo hajambo
Babu jaman namuona kwenye likes tu ujue shemela ebu akija msalimie mwambie mjukuu wake namsalimiaBabu yako naye hajambo
Ila wasiofananaHapa sawa shemela wangu ndio mana nakupenda ujue baba jj mwenyewe baba wa watoto mapacha wa kiume
Sema umemis kumpiga majunguHeshima yko Obe nmekumic ujue
Nakupenda we bonge wangu jamanAchana nao ...



nikikumbuka kitambi chako nazidi kupagawa Baba D jaman