Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,632
10/John Tyler
Alizaliwa mwaka 1790 na kufariki dunia 1962
Huyu alimalizia muhula wa nwa mtangulizi wake
Alilikoroga kwa vyama vya Liberty na Democrat hivyo akajikuta anashindwa kusapotiwa
Hivyo kuishia tu kuitwa Acting President na pia kuitwaitwa "His Accidency"
Alitawala kuanzia April 4 mwaka 1841 na kuachia ngazi March 4 mwaka 1845
Alikaa Ikulu siku 1,430
........